Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
HahahahAnanibania eti.
#nioneehurumabasi[emoji23][emoji23]
HahahahAnanibania eti.
#nioneehurumabasi[emoji23][emoji23]
Ipo kwenye maji inapoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dawa yako iko wapi narudia??
Hahaha Ankooo,,tatizo huna connection ankooNaomba (hata sikijui ninacho kuomba) na mimi nione Ankoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Carb, kikubwa uhai tu dada[emoji2356][emoji2356]!@The Happiness umesikia?
Halafu eti umeshatumiwa txt ya"babe jiandae twende dinner au niachane na maisha yako?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] muda wa maombi tafadhali.!Amka tumsifu Bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1282678
Nipo kwa wanaumee.Njoo utembee kijijini kwetu hautajuta.
Upo hapo kati au kule kwa wanaumeee?
Mwezi huu nipo sitatoka, karibu
Hahahah yule mpare anapambana kupindua meza bro,Nani mwenye meza kwa sasa? Pale inaonekana parefu bro. Halafu panaonekana sijui Dubai pale. Sarafu hizi mpaka niuze nyanya hata tiketi tu ya kwenda Dubai mpaka nikope kuongezea. Hapo ni kula kwa macho tu. Labda wewe bro na mabonge yako ya dhahabu na almasi huko Kahama na Mwadui. Jitose [emoji16][emoji16][emoji16]
Hujambo lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nateseka mimi[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah
AiseeeHaya ni maji ya kunywa mkoani Kigoma,
Wenyeji huyaita mtambo wa kuzalisha Typhoid View attachment 1282654
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Carb, kikubwa uhai tu dada[emoji2356][emoji2356]!
Msukuma ana li iPhone s eleven huko limejaaa picha za gb efu hamsini.[emoji23][emoji23][emoji23]mbona umekubali kushindwa mapema sana?
[emoji23][emoji23][emoji23]Injinia Massawe.. Ni BEAST! [emoji23] Amezimia lakini mkono hautoki Mahali ilipo wallet.... View attachment 1282810
Tukutane powerroom jamani tushike wingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] muda wa maombi tafadhali.!
[emoji23][emoji23][emoji23]Msukuma ana li iPhone s eleven huko limejaza picha za gb efu hamsini.
Mimi Nina kitekno kina picha 10 za wasukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani Kuna kushinda hapa?
SYB nitashindana naye kwenye vitu vingine ila si picha
Wachagga shkamoo [emoji23][emoji23][emoji23]Injinia Massawe.. Ni BEAST! [emoji23] Amezimia lakini mkono hautoki Mahali ilipo wallet.... View attachment 1282810
Humu ndani siwezi kushindana kwa mapicha na mtu yeyote ..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpinzani umeshindwa mapema sana.
Unaniangusha bhana