carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Anakutisha bure tu huyu[emoji23][emoji23]Nishapanda milima ya kutisha sembuse hii ya Uyole? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1282851
Khaaa[emoji23][emoji23]Ukienda kupanda milima na ahadi inakufa [emoji23][emoji23][emoji23] ukalipiwe hukohuko
Ni kweli kabisaa mkuuKuna mtu kafanyia PhD hii kitu; na mahesabu ya kufa mtu (Wonderful Patterns in Nature). Kuna mambo tunayachukulia poa ila ukiyaangalia kwa undani ni ya ajabu sana.
A nice one LOL [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2088][emoji2088]View attachment 1282850
Kubomolewa nini eti??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kubomolewa ndo maana naogopa ogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yako inasua?Naona kama unanilenga mimi vile[emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniUnazikwa kwa ujasiri
Marehemu alizaliwa akazurula akabomoa akashinda akafa.
Kuna watu tukifa Leo Haki ya Nani
Itakuwa marehemu alizaliwa akaenda kindagateni akarudi nyumbani akafa[emoji3]
Dah
Basi siendi. Nilikuwa nakutania tu...[emoji16][emoji16][emoji16]Ukienda kupanda milima na ahadi inakufa [emoji23][emoji23][emoji23] ukalipiwe hukohuko
Hapana kwa kweli weee[emoji23][emoji23][emoji23]2000's[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hili embe bado bichi[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia sikia eti ni siksitiini [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ya nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli wewe ni mwenyekiti hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa nimemkubali sana
Unikome[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nasikia sikia eti ni siksitiini [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana kwa kweli weee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu alininusuru sipo kwenye 2000's.
Aibu ningeifichia wapi mie,kuwa kwenye elfu mbili sawa na wanangu[emoji3]
Dada kweli unataka mie nilipe madeni kweli!?[emoji23][emoji23][emoji23]Ukienda kupanda milima na ahadi inakufa [emoji23][emoji23][emoji23] ukalipiwe hukohuko
Heshima yako The don[emoji112]A nice one LOL [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwenyekiti mstaafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli wewe ni mwenyekiti hahahaha
Niliwahi kubomolewa sehemu.Hebu fafanua basi kidogo[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Bado bichi kabisa likely hata ugwadu halijamaliza [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe hili embe bado bichi[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi huu unakoraputi maindi na mfumo mzima wa kufikiri. Ngoja niondoke nikapoze akili [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji3591][emoji2221]