Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante TH...Na ikurudie pia sabini mara sabini ze polaiti wani...

Niko nafanya fanya tumazoezi twepesi hapa tayari kwenda kupambana na milima ya Mbeya [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji120][emoji120]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaweza kwelii, maana milima ni mirefu huko...ama ndio heshima ya ukoo lazima itunzwee?
 
Huyu mlima nyoka tu haupandi[emoji3][emoji3]
Sidhani Kama atafika hata uyole..Maana uyole Ni Hadi apite mlima nyoka.
Akifika uyole anakutana na mlima iwalanje.
Atazimia bado hajafika mlima loleza..hapo hajagusa mwakaleli kileleni
 
Mwakaleli kileleni hapo tu ndo nimeelewa[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
N
20191205_201630.jpeg
 
Back
Top Bottom