Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu mlima nyoka tu haupandi[emoji3][emoji3]
Sidhani Kama atafika hata uyole..Maana uyole Ni Hadi apite mlima nyoka.
Akifika uyole anakutana na mlima iwalanje.
Atazimia bado hajafika mlima loleza..hapo hajagusa mwakaleli kileleni
Kwa nini tuandikie wino na mate yapo? Sijidai ila mpanda milima mzoefu mimi tena ya kila aina na katika majira yote. Hapa majuzi nimepanda mlima hatari sana mweupe pee tena uliofunikwa na theluji huko Minnesota. Milima ya Mbeya ndo ije inishinde jamani?
 
Huyu mlima nyoka tu haupandi[emoji3][emoji3]
Sidhani Kama atafika hata uyole..Maana uyole Ni Hadi apite mlima nyoka.
Akifika uyole anakutana na mlima iwalanje.
Atazimia bado hajafika mlima loleza..hapo hajagusa mwakaleli kileleni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] milima yote hiyoo, utatuulia msukuma wetu [emoji51]
 
Kwa nini tuandikie wino na mate yapo? Sijidai ila mpanda milima mzoefu mimi tena ya kila aina na katika majira yote. Hapa majuzi nimepanda mlima hatari sana tena uliofunikwa na theluji huko Minnesota. Milima ya Mbeya ndo ije inishinde jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23]shemejiiiii[emoji119][emoji119]
 
Kwanza lile baridi mbeya Nina wasiwasi mtu atazimia kwa vichomi[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…