Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lake Tanganyika.
Kigoma Tanzania
FB_IMG_1575634132031.jpeg
 
Tuliacha kuzingatia ushindani wa hoja, sera na itikadi tangu uchaguzi wa 1995 ambapo dhamira kubwa ilikuwa mashindano ya kutetea mlo au kupindua walaji na pande zote zikaegemea kwenye sura inayouzika na si hoja, sera wala itikadi. Mpaka leo uongozi na uchaguzi ni sura!
 
Back
Top Bottom