Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Dhehebu gani hilo haliadhimishi kwaresma?Huku pia tumegawanyika mpendwa. Kwaresima nadhani ni ya Waroma zaidi. Kwa wengine nadhani haina uzito sana.
😀😀😀😀😀😀Naona unanihesabisha namba[emoji23][emoji23]
Kwema lakini?
We kama mimi [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mnawezaje soma soft copy??nipeni ujuzi maana nikishika simu ana pc naishia kwenye mitandao na kuangalia movie.
Natamani niwe nasoma ila soft copy imenishinda ila hard copy nasoma vizuri sana
Hahaha alikuwa kwenye graduation,hope weekend hii atajumuika nasi[emoji23][emoji23][emoji23] ila una deni na mimi....kwani yukwapi.?
Haha nmeiona baeView attachment 1283433
Zoom pale utaiona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna viungo katika mwili wa binadamu vina kazi sana mpaka huwa vinajishangaa nadhani....[emoji23][emoji23][emoji23]
Liver inafanya kazi extra time december hii
Wakatalunya wako wapi?
Wa'alyequm salam bro,kheri huko?Asalaam Alyeikum
[emoji23][emoji23][emoji23] Acha kabisaa,
Ha hah
I do really like this guy