Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwalimu wa Sekondari ya Nambizo Mkoani Songwe Emmanuel Mbembela mwenye umri wa miaka 42 Mkazi wa Mbozi amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za kumbaka na kisha kumpa ujauzito Mwanafunzi wa kidato cha Nne.
_
Mwalimu Mbembela amekana shitaka hilo na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Tumaini Maleko ameahirisha kesi hadi December 17 mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…