Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii tabia na mimi ninayo.
Kuna series sijaziangalia napishana nazo tu huu ni mwezi wa 3
Hii tabia tupo nayo wengi sana,sema ukiwa nazo za namna hii kuna kipindi ukiwa umepigika unajikuta unaangalia bila kupenda,halaf mwsho wa siku unajilaum kumbe ulikuwa umelalia madini[emoji23][emoji23]
 
Waprotestant Ni makanisa ya kkkt,kmt(Moravian),AIC, anglican.

Pentecostal churches Ni pentecoste yenyewe, full gospel, tag,eagt na mengine.
Yale ya wanaoitwa walokole.

Usituonee..sisi tuna kwaresma
Japo kufungwa si lazima kufunga kwa kutokula.
Ijumaa kuu pia tunaitambua na huwa hatuli nyama

Ukisema tunapinga RC unakosea
Basi yaishe mpendwa.

Turudi kwenye Livapuu

(Sasa kama hampingi RC kwa nini mnajiita Waprotestanti? Mnaprotesti nini?)

Ndukiiiiii.....
 
Bibi Cheka enzi za uhai wake, akiliongoza kundi la TMK Wanaume Family kulishambulia jukwaa.
Msasani beach Club.
RIP Bibi Cheka
FB_IMG_1575637725483.jpeg
 
Basi yaishe mpendwa.

Turudi kwenye Livapuu

(Sasa kama hampingi RC kwa nini mnajiita Waprotestanti? Mnaprotesti nini?)

Ndukiiiiii.....
Uliongea kuhusu sisi kupinga kwaresma ,nikakueleza..
Sasa unasema tunapinga RC..
Kamsome Martin Luther ana majibu yako.

Huku livapuu mambo Ni Moto Kama unavyoona kwa Avatar natembea kifua mbele[emoji91]
 
Uliongea kuhusu sisi kupinga kwaresma ,nikakueleza..
Sasa unasema tunapinga RC..
Kamsome Martin Luther ana majibu yako.

Huku livapuu mambo Ni Moto Kama unavyoona kwa Avatar natembea kifua mbele[emoji91]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom