moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huyu ni ferooz??
Mods yuko jelaAmeshikiliwa wapi na nani?
Hahah msalimie StephanieMie tena.....nimeanza na Ambitions wiki hii[emoji111][emoji111]
Mwenyewe. Unga haujawahi kumuacha mtu salama.Huyu ni ferooz??
Unga mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji847][emoji23][emoji23][emoji23]
#hayanimatesobilachuki
#1..2..
Kafanana na mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23] zitakuokoa kwenye kipindi kigumu hizoNilijua kwangu tu.
Hiyo ilishawahi nitokea,kuna movie sikuwahi iangalia siku naiangalia nikasema kweli nilikalia madini[emoji23][emoji23]
Kuna series kama 3 hivi sijaziangalia nasubiri niishiwe.
Huyu haoni ndani kwa mpendwa [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kafanana na mpendwa
Hii tabia tupo nayo wengi sana,sema ukiwa nazo za namna hii kuna kipindi ukiwa umepigika unajikuta unaangalia bila kupenda,halaf mwsho wa siku unajilaum kumbe ulikuwa umelalia madini[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] sawaHahah msalimie Stephanie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mbona kama limejaa