Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye eneo la kutangaza vivutio vyetu tuko nyuma sana.
Tunaishi kwa kutegemea kauli kwamba "Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza"
Anajitetea tu, lakini ukweli anaujua
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla @hamisi_kigwangalla amesema ni kazi sana ku-respond kwenye matakwa ya Watanzania ““Ama kweli Wabongo huwa hatujui tunachotaka, ni kazi sana ku-respond kwenye matakwa yetu sisi watanzania, wengine walianza kurusha mawe kwa Serikali kuwa hatutumii fursa za uwepo wa wasanii, tulipowatumia, wakalalamika, na wengine wakasema tunakula Bata tu!”
_
“Wengine wakalalamika kuwa Rwanda inatupita sababu wanatumia soka kujitangaza, tukarespond, kufanya utafiti na uchambuzi wa kina wa njia hii ya kujitangaza kama inalipa ama la, na kama tuingie ama laah!, Majuzi Rwanda kaongeza mkataba mwingine tena, mkatushambulia”- KIGWANGALLA
_
“Mkatushambulia kuwa tumelala, tuna vivutio vingi, iweje Rwanda atupite kujitangaza? Rwanda wako strategic zaidi yetu! Nikaona niwaeleze kuwa nasi hatujakaa kimya, kuna proposal nyingi tumeletewa, kama Serikali tuna utaratibu rigorous wa kufanya uamuzi, tunachambua”-KIGWANGALLA
_
“Nikasema tunashughulikia taarifa tulizonazo, tukiona kuna faida kwetu kuwekeza pesa ya serikali, tutaingia huko, kama hakuna hatutoingia, nayo imekuwa tena mbaya, tusiige Rwanda, Kwa nini tusubiri mpaka clubs zitufuate? N.K, la wema lipi ndugu zangu?”- WAZIRI KIGWANGALLA
 
447807230_518100.jpeg
 
Hii tabia tupo nayo wengi sana,sema ukiwa nazo za namna hii kuna kipindi ukiwa umepigika unajikuta unaangalia bila kupenda,halaf mwsho wa siku unajilaum kumbe ulikuwa umelalia madini[emoji23][emoji23]
Nilijua kwangu tu.
Hiyo ilishawahi nitokea,kuna movie sikuwahi iangalia siku naiangalia nikasema kweli nilikalia madini[emoji23][emoji23]

Kuna series kama 3 hivi sijaziangalia nasubiri niishiwe.
 
Back
Top Bottom