Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapo kwenye kutokula nyama mmeigaBasi yaishe mpendwa.
Turudi kwenye Livapuu
(Sasa kama hampingi RC kwa nini mnajiita Waprotestanti? Mnaprotesti nini?)
Ndukiiiiii.....
Mods yuko jela
Jirani mpenzi Nipo jijini hapa kwa siku kadhaa sasa, nijurishe mahali ulipo tuonane tusalimiane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie kwa kweli uzalendo umenishinda naomba tu kutolewa ushamba,