myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ndio Bro huwa nikiwa na muda najisomea....mahari lazima iongezeke Kaka ake. Kwema Kaka ake?View attachment 1282902
Nilisomaga nusu sikukimaliza. Itabidi nikazane nimalizie...
Sis unajisomea eeh!?
Mahari inazidi kupanda wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hicho hapo BradhaView attachment the-alchemist.pdfNakisubiri kwa hamu.
Bro, endeleza kama una mda.Nikikianza ntakua naleta kamrejesho[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Nimekuwa mwanza kwa muda wa siku kama 20 hv na leo najiandaa kurudi kwangu baada ya kumaliza kazi.
Mlio mwanza nawasalimu japo naogopa kuonana nanyi