Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Naisubiri
Mtani, nwmda kwenye comment namba hiyo utakutana na ule mzigo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wananchi wa kijiji cha Ng'ombe, Misungwi mkoani Mwanza wamemkataa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Zakayo Magongo aliyepita bila kuchaguliwa na kupingwa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa serikali za Mitaa huku wakimtuhumu kwa kuchochea ugomvi na kukosa ushirikiano na wananchi
Wabongo tuna wivu sana yaani. Umeme ukikatika Mtu anatoka nje ahakikishe na Kwa jirani yake kama haupo ukikata kote utasikia
''Kumbe umekatika kote Bana''
[emoji23][emoji23]
Wabongo tuna wivu sana yaani. Umeme ukikatika Mtu anatoka nje ahakikishe na Kwa jirani yake kama haupo ukikata kote utasikia
''Kumbe umekatika kote Bana''
[emoji23][emoji23]
Wabongo tuna wivu sana yaani. Umeme ukikatika Mtu anatoka nje ahakikishe na Kwa jirani yake kama haupo ukikata kote utasikia
''Kumbe umekatika kote Bana''
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marehemu Josephat Isango akisulubiwa na wafilisti... Alikufa akiipenda Chadema
Utasikia mwingine akisema "nimefanyiwa hujuma, kwa sababu ya uenyekiti"
Ok! Anza na uenyekiti wa ukoo kwanza. Pambana ya hela yote.. View attachment 1283052
Aaa wapi. Nimesoma pengine vitatu tu japo namkubali sana huyu jamaa. Riwaya zinaburudisha akili na kuchangamsha fikra...Aisee mizigo yote hii ipo kichwani [emoji3][emoji3]
Umesoma vingapi kati ya hivi?Kwangu mimi kati ya novel zote za Sidney Sheldon hiyo Rage of Angels ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mimi mwenzenu hakuna kitu kigumu kwangu kama kusoma soft copy[emoji85]Aaa wapi. Nimesoma pengine vitatu tu japo namkubali sana huyu jamaa. Riwaya zinaburudisha akili na kuchangamsha fikra...
Ukiwa na tablet kidogo inasaidia. Kwenye simu hata mimi siwezi...Mimi mwenzenu hakuna kitu kigumu kwangu kama kusoma soft copy[emoji85]