Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1557592706773.jpeg
 
"Dua dua dua, aaah Mchatta hebu elezea"
Liongo ilikuwa kona maridadi iliyopigwa na Abdul Mashine, ikamkuta Malota Soma akaigonga kwa kichwa, ikamkuta Dua Saidi akamwambie Nemes hodii.
Ni goli maridadi sana, kwako Abubakari Liongo.
1993.
Simba 1--0 Yanga
Chumila Chumilaaaa.... Namna gani tena pale?!!!
Huyu jamaa sijui kama utamsahau [emoji3][emoji3]
 
"Dua dua dua, aaah Mchatta hebu elezea"
Liongo ilikuwa kona maridadi iliyopigwa na Abdul Mashine, ikamkuta Malota Soma akaigonga kwa kichwa, ikamkuta Dua Saidi akamwambie Nemes hodii.
Ni goli maridadi sana, kwako Abubakari Liongo.
1993.
Simba 1--0 Yanga
#TANZIA: Mchezaji wa zamani aliyewahi kuzichezea timu za Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Tanzania Ally Yusuph Tigana, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi. Azam TV on Twitter
 
Back
Top Bottom