moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kweli cheo sahihi na kimemkubali vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwanaume unapiga bao phaa mpaka yai linaparalaizi na kugawanyika mara tano dah !!!
Lazima ilikuwa shughuli ya kupeana mahari hiiDuuu, kuku wameteketea hapo.
Na usikute kuna bint anatolewa posa hapo[emoji23]
Kujiendekeza tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Beberu si hapo lazima utakuwa na hela? Au beberu la mbuzi?
Kama hauna pesa basi ni beberu la mbuziBeberu si hapo lazima utakuwa na hela? Au beberu la mbuzi?
Hata sijuwi lolote
Mtani, nwmda kwenye comment namba hiyo utakutana na ule mzigo😀😀😀😀Khaaa[emoji23][emoji23]