Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MADHARA YA PUNYETO.
Hukufanya uwe dhaifu kimwili sababu unapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako kwa wingi

Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili na kupelekea matatizo ya macho kutokuona vizuri

Uume kushindwa kusimama kutokana na kuathiri misuli ya Uume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…