Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mambo mengine ya msingi
Anaitwa Dr Abdullah Hasnuu Makame Abdullah Makame ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania na Leo anapeleka Hoja Bungeni kuomba kusitishwa kwa matumizi ya jina Victoria ili tupate jina la Kiafrika. Anadai jina Ziwa Victoria ni la KIBEBERU!

Ni nini maoni yako kuhusu hoja na mawazo ya Mwakilishi wetu huyu?
 
Mood activated [emoji3][emoji3]
20191203_195330.jpeg
 
Nyanza,
Anaitwa Dr Abdullah Hasnuu Makame Abdullah Makame ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania na Leo anapeleka Hoja Bungeni kuomba kusitishwa kwa matumizi ya jina Victoria ili tupate jina la Kiafrika. Anadai jina Ziwa Victoria ni la KIBEBERU!

Ni nini maoni yako kuhusu hoja na mawazo ya Mwakilishi wetu huyu?
 
Namuunga mkono,
Bora hata tuliite jina la kisukuma kuliko jina hilo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Anaitwa Dr Abdullah Hasnuu Makame Abdullah Makame ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania na Leo anapeleka Hoja Bungeni kuomba kusitishwa kwa matumizi ya jina Victoria ili tupate jina la Kiafrika. Anadai jina Ziwa Victoria ni la KIBEBERU!

Ni nini maoni yako kuhusu hoja na mawazo ya Mwakilishi wetu huyu?
 
*Novemba Huwa Inakuwa Hivi*.
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30

*DECEMBER*
1 2 4 5 6
14 15 16 17 18 24 25
26 27 30 31

*UJE JANUARY*
1 2 3
3.1 3.2 3.3 3.4 3.5 4 4.1
4.2 4.3 4.4 5 5.1 5.2 5.3
5.4 5.5 5.6 5.7 6 6.1 6.2
7 7.1 7.2 7.3 7.4 8 8.1
8.2 8.3 8.4 9 10 10.1 11.2
13 14 15 16 17 18 19
20 21 22 23 24 25 26
27 28 29 30 30.1 30.2 30.3
30.4 31

*Tumia Fedha Zako Kwa Uangalifu.Tumechoka Kuulizwa Mwezi January Una Siku Ngapi[emoji28][emoji28]*
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom