moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mungu atupe siku njema
Picha ina vibe kama lote[emoji23][emoji23]Tukutane kwa tent[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1284390
Iwe siku yenye baraka
#nimeishiwanguvumimi[emoji23][emoji23]
Unaweza kuta jirani pia yupo anafatilia kwa makini[emoji23][emoji23]Wachunguliaji mko wengi[emoji23][emoji23][emoji23]...
Baridi na manyunyu ya Asubuhi
Ndugu yangu....
Mambo vipi vipi bro?
Na mimi naomba kuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ametuweza kwakweli, ila ana tabasamu kama lote
#NipekaratasiNimchore[emoji23]
Asante sana carba..tuwe na weekend njema yenye kupendezaUwe na wakati mwema hapo ulipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ametuweza kwakweli, ila ana tabasamu kama lote
#NipekaratasiNimchore[emoji23]
Kwani kimetokea nini mzee mwenzake??Hahah wewe TH,,mm mwenyewe nmeangalia mara moja tu,kurud ni screenshot hakuna kila kitu[emoji16][emoji16]
hahahahahahaha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#huuuzisihami
#leonipokamasipovile[emoji23][emoji23]
Shabiki damu wa Liver alafu ata hajui rangi ya jezi zao Saint anne
Daladala imejaa niajee[emoji23][emoji23]Na mimi naomba kuona[emoji23][emoji23][emoji23]
#kihereherekimeniisha[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]