Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
hahahahahahah, haya bana.Utetezi wa hovyo kabisa huu katika historia ya tetezi [emoji16][emoji16][emoji16]
Salama pande hizo lakini?
hahahahahahah, haya bana.Utetezi wa hovyo kabisa huu katika historia ya tetezi [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku kwema bro. Baridi tu linapuliza balaa. Huko kwako vipi?hahahahahahah, haya bana.
Salama pande hizo lakini?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Baridi pia aisee.Siku imeenda fresh kabisa.Huku kwema bro. Baridi tu linapuliza balaa. Huko kwako vipi?
Santiago? Kitabu gani hicho?Baridi pia aisee.Siku imeenda fresh kabisa.
Nimeanza kumcheki/kumsoma Santiago hapa, page ya tatu naona macho hayataki tena.Wacha nipumzike.
Good afternoon to you!!
Duh!Mambo ya kwenda kusafisha nyota na kupewa malimbwata [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1284137
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 1284061
😂😂😂😂😂Hapo bado hatujagusa tar10[emoji23][emoji23][emoji23]eeh MUNGU tuinulie uso wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna ibishani tena hapo Dunia imeshaamua kuwa Leo Messi ndio King wa hiyo kitu.