Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji818][emoji818]
[emoji818][emoji818]
Waganga wa kienyeji shwaini zao [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1284133
Dah..Mambo ya kwenda kusafisha nyota ya kuolewa na malimbwata [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1284137
Anajisaidia 😄Mambo ya kwenda kusafisha nyota ya kuolewa na malimbwata [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1284137
ila january ndefu jamani 😌😌😌, muda kama huu january ndo kwanza tarehe3Nasubiri mapicha ya January [emoji1787]
Naona kuna kijichungu hapo chini. Likely vitu vya kuchanganya kwenye dawa vinahitajika...na mganga akishuhudia laivu [emoji16]Anajisaidia [emoji1]
Aisee aliyechukua picha apongezweNaona kuna kijichungu hapo chini. Naona vitu vya kuchanganya kwenye dawa vinahitajika...na mganga akishuhudia laivu [emoji16]
Ndiyo maana hata wengine huwa wanalalwa na hawa waganga aisee. Na huyu inaonekana ni binti mbichi tu yaani. Sijui kaenda kutafuta nini...Aisee aliyechukua picha apongezwe
Hello sweetie![emoji137][emoji137]hi
Nasubiri jibu kutoka kwa SHIMBA YA BUYENZESijui tuwaulize wanaowatazama[emoji23][emoji23][emoji23]btw mwenza umekuja lini huku
ila january ndefu jamani [emoji18][emoji18][emoji18], muda kama huu january ndo kwanza tarehe3
Mnaongelea nini nyinyi Wazaramo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nasubiri jibu kutoka kwa SHIMBA YA BUYENZE
Kwahiyo umekataa nisiwe wifiyo badala yake unataka niwe mke mwenzio?[emoji6]
hahahahahahahahaHivi kuna Wapare katika uzi huu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1282751
Hivi mnawezaje soma soft copy??nipeni ujuzi maana nikishika simu ana pc naishia kwenye mitandao na kuangalia movie.
Natamani niwe nasoma ila soft copy imenishinda ila hard copy nasoma vizuri sana
We kama mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Utetezi wa hovyo kabisa huu katika historia ya tetezi [emoji16][emoji16][emoji16]hahahahahahahaha
Huyu ni ile inakua baba ndio mpare ila mama ni msukuma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]