Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mambo mengine ya msingi
Kama yapi?

Wanasheria wanasema eti kubadili jina tu yaweza kuwa ni hatua ya kwanza kukwepa na hata kuanza upya kurekebisha mikataba ya kibeberu iliyosainiwa wakati wa ukoloni; mikataba ambayo haiziruhusu nchi za Afrika Mashariki kutumia maji ya Ziwa hili bila ruhusa ya nchi ya Misri.
 
Rais Magufuli amewataka Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita kuanza mara moja upanuzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Chato kwa kuwa Serikali imeshatoa Tsh.Bilioni moja kwa ajili ya ujenzi huo.
_
Rais Magufuli hajafurahishwa na taarifa za Viongozi wa Halmashauri ya Chato kupoteza muda wakibishana juu ya upanuzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Chato licha ya fedha za ujenzi kutolewa tangu Julai 2019, ameonya kuwa Serikali haitovumilia uzembe wa Viongozi wachache.
Ana uhakika kama hizo hela bado zipo?
 
431815533_321398.jpeg
 
Kawaida yao hawa. Akiwa kibonge anasema kimbaumbau. Akiwa kimbaumbau anasema kibonge. Akiwa andaeitini anasema mhenga.... Chukulia hii ni opoziti na ukidhibitisha vingine njoo unidai matenga mawili ya nyanya...[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha nmeanza kuamini bro,hii itakuwa ni kweli kabsa...nmejiongeza tayali[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom