carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Wanavyomnanga lulu jamani hadi sio vizuri,wanakwambia hata ya mkeka basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lulu kakitembeza sana tena hadharan na bado ana ligi na wakwe acha ndoa ipigwe kalenda
Mume wa queen anatafuta mtoto wa ndan ya ndoa,mke wa kwanza kashindwa kumpatia
Kumbe[emoji848][emoji848]
Sema kuna kipindi nilisikia qn ana mimba ya ricardo momo sasa na hii ndoa mmh!!