Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lulu kakitembeza sana tena hadharan na bado ana ligi na wakwe acha ndoa ipigwe kalenda


Mume wa queen anatafuta mtoto wa ndan ya ndoa,mke wa kwanza kashindwa kumpatia
Wanavyomnanga lulu jamani hadi sio vizuri,wanakwambia hata ya mkeka basi[emoji23][emoji23]

Kumbe[emoji848][emoji848]
Sema kuna kipindi nilisikia qn ana mimba ya ricardo momo sasa na hii ndoa mmh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…