Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Anne asifute picha Subutu mpendwa nawe si ungeihifadhi😄Hehehehehehe kawaweza kweli,picha zilikaa sana nikaona haina haja ya kuitunza hawez futa kumbe kafuta aiseee
Taarifa zilizopo ni kuwa kaolewaHaha, huyu kajitahidi kuendana na hili vazii! Kwan anaolewa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatuumiza roho sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadithi ndefu mno
Sio uungwana kabisaWapendwa naomba kuuliza swali hivi mtu anawezaje kukutag unafika unakuta picha kafuta kweli huu ni ugwana jamanii
Cc. Saint anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji847][emoji847][emoji847]
#Nakataa
Keshaolewa
Hahahaha eti usaliti.....Blaza kaka mzuri kuliko....[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Taarifa zilizopo ni kuwa kaolewa
#usisahaukunausaliti[emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1286139
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aya nacheza yope♫♫♪♪
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio maneno yanguView attachment 1285295
Sio uungwana kabisa mpendwa,Wapendwa naomba kuuliza swali hivi mtu anawezaje kukutag unafika unakuta picha kafuta kweli huu ni ugwana jamanii
Cc. Saint anne
Bora hata wew mpendwa umewahi kuambulia kuona juzi moja mimi sijawahii kuona hata ya mpendwa mmoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatuumiza roho sio
Sisi ni ndugu basi tu[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe una ugonjwa kama wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu nione kiganja kama kina herufi M[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi ni ndugu basi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mume soon asipofanikisha akitakacho ataongeza wa tatuTaarifa zilizopo ni kuwa kaolewa
#usisahaukunausaliti[emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1286139
Yaani...Hahahaha eti usaliti.....Blaza kaka mzuri kuliko....[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ajiandae kwa matukio maana hawa wa tandale[emoji119]