carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unataka nifwe kwa puresha??Huku tunatuma kama hizi.
Na nimefanya makusudi kwa Sababu hao wamelala.
Nao walinichezea mchezo mchafu mchana[emoji3]
Unanini lakini?
Ina maana ulisubiri ni log out ndo uweke picha??[emoji24][emoji24][emoji24]
#naombahiyopichapuliizii
#hizihujumahazikubaliki
The Happiness umeona hujuma hizi?