Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jamani SYB urudi huku sabufa nimekumiss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nakosa kutumia vizuri sabufa langu
Hilo nalo la kuuliza? [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia[emoji375]
#Uachienywilayamsukuma
Unataka kusema bro ndo yuko huko?[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Hivi Tukuyu nayo ni nyanda za juu kusini?[emoji3][emoji3][emoji3]
Nakazia
#achieninywilaa
Jamani eeehh
Achieni nywila za
The don
Poti
Na soulmate wangu
NYEPESI NYEPESI TOKA UZI WA LIKES
1.kijana mpole afananishwa na ali kiba
2. Butua butua za hapa na pale zamkuta the don himself,bila kutarajia nywila chaliiii mara paaap kageuka mpira wa kona kila mtu anaukimbilia apatepo ka goli huku akikana kumpandisha milimani(habari inasindikizwa na kamlio ka habari ka redio free africa)
3.Man city and the co hawana hamu na likes kisa na mkasa kipara anauza sura tu uwanjani siku hizi,kheee hadi man u chovu imejipigiaaaaa. Wamebaki kulalamika mbeleko yelewiiiiiii
4. Bwana jezi na buraza macho kodo kuvizia watupiaji na watupiaji nao hawaishi kurusha roho watu wanacrop picha haaaaooooo editing za insta zikasomeeeerrrr
5. Shukran kwa upotevu wa nywila za bro don,'sabufa'wetu kapunguza sauti za kushangilia wale majogoo waliokosa ndoo miaka na miaka karne na karne. Naombea hali hii iendelee december nzima(malizia na kicheko cha baba jeska wetu)
KABLA SIJASAHAU TUPATE TANGAZO KIDOGO
Achiiiiiiiiiaaaaaa nywilaaaaaaaaaa
Anyway tuendeleee
6. Bwana jezi kila mechi ya man u anapewa maahadi tele,jukwaan hapa anakausha ahadi hazijatimia ila sura inamuaibisha anakuaga na mafuraha kama yoooteeeeeee asante kwa prime minister(kijana kijana uwege unasema bana sie tunadhan una furaha ya timu kumbe una yako)
7.soon mzee wa VAR atapata tuishen tamu na bora kabisa ya kujipatia ban yake nzuuuriiiii
8. Jirani hoooiii katimu kake kila siku ni kichapo tu
9. Hatimae urojo umeadimika visiwani,bwana naniii kahamia kwenye sembeeeee
Na repota wako maarufu kwa jina la Banned numbieeeee
Ciaoooo
#ifudieeudieeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khantwe warudishie msukuma wao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndio yamemkuta baada ya kung'ang'ania safari asiyoiweza
Nimrudishe nimtoe wapi[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ndio umrudishe
Nilisema Mimi kwamba hatafika kileleni loloza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Warudishie the Don wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea andaeitini weye, ulimuonya lakini....akasema If I die I die
Yupo kwa khantwe[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimuachia khantwe ampandishe vilele na vilele
Heee na mimi tena [emoji1][emoji1]
Dah
SYB fanya uje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu huku wanajua nimekuulia Kwenye milima ya mbeya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaa mimi tena nimekuwa mpandishaji? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] yuko na wewe basi
Wewe ni wa kunisakizia huu msala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe si ndo mlikuwa mnapandishana nae milima na vilele vya senjele songwe kule[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi bro don anapigwa ndoa za mikeka aiseee,shuain zao walionipiga ban wamenikosesha uhondo
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba The Don yupo Tukuyu anaslap?
Kamchukue Tukuyu [emoji23][emoji23]
The don atakuwa kwa Saint anne maana ana vile vitu anapenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Bro don kazini
Slap and watch it vibrate vigorously tremendously sromondonsly
If u dieeee ,u dieeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#wakubwaWanafauduuuuu
Anne mnamsingizia kwa kweli haelekei kabisa kwa Msukuma
#free SBY.
[emoji23][emoji23]
Tunamtaka the don
Asante kwa upendo wenu wapendwa. Mmenifurahisha sana. Upendo wetu udumu katika uzi huu na Mungu Aendelee kutulinda na kutuimarisha. The Don Himself here. Nawapenda Sana [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
#Sijanyang'anywaNywila
#SijaendaNyandazaJuuKusini
#SijapandishwaMilimayaLoleza
#KhantweHajanificha
#SaintAnneHanaHatiaAsinyanyaswe