Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9 Desemba.
1957 Anatoglo hall Dsm.
Kuanzia kulia aliyekaa ni Abdul Sykes, Lawi Nangwanda Sijaona, JK Nyerere na Dosa Azizi.
Kwenye sherehe fupi ya kumuaga mwalimu, ambaye alikuwa anaelekea Umoja wa Mataifa, Marekani kwenye harakati za uhuru wa Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…