Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itakuwa anapewa mambo mazito maana si kwa kukabidhi nywila mwenyewe[emoji23][emoji23]
Soulmate wako safari hii amejitekesha mwenyewe[emoji2088][emoji2088] na mtekaji hana huruma[emoji16][emoji16]
#soulmatejamani[emoji125][emoji125][emoji125]
tapatalk_1573132931857.jpeg
 
Asante kwa upendo wenu wapendwa. Mmenifurahisha sana. Upendo wetu udumu katika uzi huu na Mungu Aendelee kutulinda na kutuimarisha. The Don Himself here. Nawapenda Sana [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

#Sijanyang'anywaNywila
#SijaendaNyandazaJuuKusini
#SijapandishwaMilimayaLoleza
#KhantweHajanificha
#SaintAnneHanaHatiaAsinyanyaswe
Hii sio bure.

Aidha Khantwe au Saint anne amekutishia usiseme ukweli.

Sijui kwanini watu wakitekwa halafu wakiachiwa hawafunguki.

#keleleZetuZimesaidiaSana😀😀
 
Back
Top Bottom