The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Mbwa Milioni moja huliwa kwa Mwaka huko Indonesia[emoji51][emoji51]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296]Jambo lingine linalohusishwa na kansa ya matiti ni homoni ya estrojeni ambayo huenda inachochea aina fulani za kansa hiyo.
Kwa hiyo, mwanamke anaweza kupatwa na kansa hiyo ikiwa alianza kupata hedhi mapema maishani au ikiwa aliacha kupata hedhi akiwa amechelewa isivyo kawaida, ikiwa alipata mimba ya kwanza umri wake ukiwa umesonga au ikiwa hakuwahi kupata mimba, au ikiwa alipata matibabu ya kurudisha homoni fulani mwilini.
Nimeona drone babe[emoji847][emoji847]Babe Carba umeenda wap.? Wameshaacha ufala [emoji23][emoji23]
#Shwaaainzaooo[emoji855][emoji855]
[emoji23][emoji23][emoji23] Basi bwana....uwe na mchana mwema BaeNimeona drone babe[emoji847][emoji847]
Wapuuzi sana hawa mods[emoji57][emoji57]
Yaani wamenifanya nijivike mabomu kama mara3 hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi bwana....uwe na mchana mwema Bae