Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saudia ruksa wanawake na wanaume kutumia mlango mmoja Migahawani. Sasa haitohitaji tena migahawa kuwa na milango tofauti ya kuhudumia wateja kulingana na jinsia na familia, serikali imesema. Awali, ilikuwa lazima kuwa na mlango mmoja kwa ajili ya familia na wanawake na mwengine wa wanaume. Sharti hilo kwa sasa limeondolewa huku migahawa mingi pamoja na maeneo mengine ya kufanyia mikutano ikifuata mkondo huo. Hata hivyo mabadiliko ambayo yamejitokeza katika miaka ya hivi karibuni nchini Saudi Arabia yamekuwa yakikemewa vikali na wapinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…