Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitengo cha habari cha EFE kimeripoti kwamba watatu kati ya abiria hao ni raia.
Rais wa Chile Sebastian Pinera amesema katika ujumbe wa Twitter kwamba amefadhaishwa na kutoweka kwa ndege hiyo na kwamba anachunguza hali katika kambi ya wanahewa ya Cerrillos katika mji mkuu wa Santiago
 
Wanahewa wa taifa hilo wamesema kwamba ndege hiyo ilikuwa imefika maili 450 kati ya 770 ya safari yake wakati ilipopoteza mawasiliano ilipopitia katika eneo moja la maji linalounganisha eneo la Kusini mwa Atlantic na kusini mwa Pacific na linajulikana kwa hali mbaya ya hewa.
 
Back
Top Bottom