Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HahahahaM
MjuKuu wangu yupo anaichora hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SafiiJust beautifulView attachment 1287847
KweliKufa kwa biashara siyo jambo zuri, ni wazi kuwa kila mtu nayefanya biashara atatamani kufanya juu chini ili ainusuru biashara yake isife.
SawasawaMipango duni
Ili ufanikiwe katika biashara unahitaji mpango mzuri wa biashara. Biashara nyingi zinazoanzishwa Afrika hazina mipango madhubuti ya kibiashara inayoonyesha maswala kama vile muundo wa utawala, mtaji, mikakati au mipango ya mauzo, n.k Biashara nyingi pia hukosa lengo; jambo ambalo hufanya biashara nyingi kufa.
✔✔Eneo baya la kibiashara
Uchaguzi mbaya wa eneo la kibiashara hupelekea biashara nyingi kufa kutokana na kukosa wateja. Biashara nyingi hushindwa kubainisha eneo ambalo linafaa kwa ajili ya biashara zao na hatimaye hukosa wateja na kufa. Kwa mfano kufungua biashara ya kuuza vifaa vya magari katikati ya soko la vyakula ni wazi kuwa mauzo yatakuwa duni sana.
✔✔✔Kuajiri watumishi duni
Biashara nyingi hupendelea watumishi duni (cheap labour) ili wawalipe malipo kidogo. Ni ukweli usiopingika kuwa mtumishi duni atafanya kazi duni. Biashara nyingi hazioni mafanikio wala matokeo chanya, kutokana na kuajiri watu wasiokuwa na uwezo wala ubunifu wa kufanya biashara husika kwa njia yenye tija. Ni heri kuajiri mtumishi mmoja bora kuliko watano duni.