Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rihanna ana tuzo kibao,Pesa nyingi sana na ni star.

Akisalitiwa na mpenzi wake akiombwa msamaha anaelewa na kutulia Shida ipo kwako
ATUPELE MWAKITOPOLI unamiliki TECNO chaji hadi ukunje ndo ipeleke,Imetokea ukasalitiwa unaombwa msamaha unaanza kuvimba.

Who are you in this Atmosphere?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…