Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nmeona ... yani yeye anajua never walk alone na liver tu [emoji23]

Club nyingne hana habari [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usipoteze nguvu bana anne anachangamsha genge tu. Namtajia red devils anafurahia,GGMu anafurahia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakubidi uende kwa yule mganga wa makunduchi, ukavue nguo kisha ukalie fenesi[emoji23][emoji23][emoji23]
njia pekee ya kuiombea mabaya hii timu yenye bendera ya jogooo ni kwenda kwa yule mganga aliyevaa kanzu rangi ya chocolate.

kibaya zaidi sharti lake ni lazima uvue nguo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakubidi uende kwa yule mganga wa makunduchi, ukavue nguo kisha ukalie fenesi[emoji23][emoji23][emoji23]
itabidi nifanye hivyo kwa faida ya haters wote tunaosuburia yule jogoo akutwe na anguko zito.
mechi ilikuwa nzuri sana kipindi cha kwanza, narudi tena kwenye kioo mnamo dakika ya 60 scoreboard inasoma magoli mawili kwa liverpool.

hatua niliyoichukua ni kwenda kutafuta korean drama nijipozee machungu
 
Nmeona ... yani yeye anajua never walk alone na liver tu [emoji23]

Club nyingne hana habari [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]thats our anne. Shabiki namba moja wa Gerald

Muacheni Anne wa watu.

Mmeshamuona tausi wake lakini?
 
Machungu ya nini wakati timu iliyofungwa huna mapenzi nayo!?
Au ndiyo zile husda za kipemba[emoji23][emoji23]
 
hongereni majirani na ndugu zetu (walaji sembe na konokono) kwa ushindi wa jana, mara hii tumewapelekea vijana wasiokuwa na uzoefu wa mashindano ilimradi mujipozee machungu ya kufungwa mara kwa mara na wapishi wa urojo, katlesi, bagia, chauro pamoja na ubuyu wa babu issa..............

si wenyewe munashuhudia hata huko ulaya klabu kubwa duniani ya manchester united inajifungisha mechi zake dhidi ya timu ndogo lakini mechi kubwa inapata ushindi.

hata zile mechi za usiku unapaswa baadhi ya siku ujipotezeshe pambano, alah! kila siku unafunga wewe tu magoli matatu huku mwenzio hapati hata mojaaaaaa
vibaya hivyoooo unapaswa umfurahishe na mwenzako ili apate kujisifu mbele ya wenzake

kwa kuwa mumepata ushindi basi hayaaa kuleni sembe, pombe, sangara, fisi, twiga, faru khadija, makande na tembo. ohoooooo nimesahau kumbe kule makunduchi alipozaliwa bradha neno tembo ni matusi.
haya kuleni ndovu.

nimesikia mukichukua kombe munapewa boxer na yule muhindi pilipili
hahahahahahaaaaaaaaaaaaa asisahau kuwapa na mapaketi ya sabuni na sabuni za vipande mupate kukoshea marungu yenu (nimekusudia marungu ya miguu)

halafu hii timu haina jezi?
hamuna bendera yenu?
 
hahahahahah
Naona kitu cha sembe hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…