Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ajax have been knocked out of the Champions League and have qualified for the 2019/20 Europa League Round of 32.

kumbe ajax wametolewa kwenye makundi....
ngoja nichukue nafasi ya myoyambendi

poleni ajax
poleni waholanzi
poleni mashabiki wote wa ajax
poleni sungura wote wa ajax
poleni wazazi wote wa ajax
poleni wanafunzi wote wa ajax
poleni mashabiki wote wa ajax muliofunga ndoa na wanawake wa kitanga
 
[emoji23][emoji23]
hongereni majirani na ndugu zetu (walaji sembe na konokono) kwa ushindi wa jana, mara hii tumewapelekea vijana wasiokuwa na uzoefu wa mashindano ilimradi mujipozee machungu ya kufungwa mara kwa mara na wapishi wa urojo, katlesi, bagia, chauro pamoja na ubuyu wa babu issa..............

si wenyewe munashuhudia hata huko ulaya klabu kubwa duniani ya manchester united inajifungisha mechi zake dhidi ya timu ndogo lakini mechi kubwa inapata ushindi.

hata zile mechi za usiku unapaswa baadhi ya siku ujipotezeshe pambano, alah! kila siku unafunga wewe tu magoli matatu huku mwenzio hapati hata mojaaaaaa
vibaya hivyoooo unapaswa umfurahishe na mwenzako ili apate kujisifu mbele ya wenzake
View attachment 1288199
kwa kuwa mumepata ushindi basi hayaaa kuleni sembe, pombe, sangara, fisi, twiga, faru khadija, makande na tembo. ohoooooo nimesahau kumbe kule makunduchi alipozaliwa bradha neno tembo ni matusi.
haya kuleni ndovu.

nimesikia mukichukua kombe munapewa boxer na yule muhindi pilipili
hahahahahahaaaaaaaaaaaaa asisahau kuwapa na mapaketi ya sabuni na sabuni za vipande mupate kukoshea marungu yenu (nimekusudia marungu ya miguu)

halafu hii timu haina jezi?
hamuna bendera yenu?
View attachment 1288198
 
Back
Top Bottom