Mkuu kwanza kabisa unafahamu kuna wigi za rasta?na video kideon kavaa wigi. Kama unabisha usiseme nywele sema mbona hakua na kitambi hapo utaeleweka
#mbonaunamteteasana
😀😀 simtetei... itakua macho yangu hayaoni vizuri
Ila sio yeye
Mkuu kwanza kabisa unafahamu kuna wigi za rasta?na video kideon kavaa wigi. Kama unabisha usiseme nywele sema mbona hakua na kitambi hapo utaeleweka
#mbonaunamteteasana
Kama sio yeye atakuwa nani mpendwa ile hawezi kukataa na wale watu wengine😀😀 simtetei... itakua macho yangu hayaoni vizuri
Ila sio yeye
Kama sio yeye atakuwa nani mpendwa ile hawezi kukataa na wale watu wengine
Aisee...Ajipendekeze kwa Dai😄😄😄
Duh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]keshaliwa zamaniii
Hiyo miaka 10 kakuongezea nani mtani?😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nimesikia hiyo habari hadi nikacheka.
Sijui kwanini watu wanapenda kudanganya umri hasa hawa wanaojiita watu maarufu.
Mimi niko na 37 yangu nafurahi tu[emoji23][emoji23][emoji23]