Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
![]()
Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa
Habari zenu wakuu Nimevumilia ila nimeshindwa nahitaji msaada wenu huyu baharia mzee nimfanye nini . Maana aliyonifanyia nahisi hata nikisema ni move on sitaweza natamani na mie nimfanyie kitu cha aibu na fedheha kama alivyofanya kwetu Uhusiano wangu na huyu baba umedumu kwa mwaka mmoja na...www.jamiiforums.com
Baharia keshamaliza kazi yake kasepa. Kazi kweli kweli...
Kwema TH?