Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa
Habari zenu wakuu Nimevumilia ila nimeshindwa nahitaji msaada wenu huyu baharia mzee nimfanye nini . Maana aliyonifanyia nahisi hata nikisema ni move on sitaweza natamani na mie nimfanyie kitu cha aibu na fedheha kama alivyofanya kwetu Uhusiano wangu na huyu baba umedumu kwa mwaka mmoja na...www.jamiiforums.com
Huko mbele ya safari nadhani huyu jamaa atakuja kuanzisha dini/kanisa/cult yake...na itafanikiwa sana...Kha! Hii kali.. Ndio nini?
😂😂😂😂
Naona yuko ubungo mawasiliano anawasambazia upendo.
AiseeeMussa Musolla aliyeachiwa jana mkoani Njombe kwa msamaha wa Rais John Magufuli amekamatwa na Polisi Mkoa wa Njombe baada ya kuvunja nyumba ya kulala wageni, polisi wamethibitisha #MwananchiUpdates Mwananchi Newspapers on Twitter
Andaeitini huwezi kuelewa haya mambo. Utayaelewa ukikua [emoji16][emoji16][emoji16]