myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hii fursa nimeiona.Hbar za asubuhi wakusoma😀😀Dah! Mpaka nimesahau maua yanafananaje.. Hivi Valentine lini tena?
Yegoooo, mzima bro??SHIMBA YA BUYENZE, Sendwave wamerudi Bro! Download App na ufanye usajiri, watataka upige picha ya ID yako; usistuke! Wapunguzie ndugu na jamaa safari za kwenda Posta!
Mkuu sura tofauti ni yeye kweliDj Mbowe wakati wa ujana wakeView attachment 1290604
Hahahaha hivi kwanini huki tag mapema mpaka uzi umefutwaAisee
Mimi huyo hahahahaHakuna koments tena uzi umefungwa, hivi ni wewe umebadili username?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana uzi haukufutwa mpendwa upo umefungiwa.Hahahaha hivi kwanini huki tag mapema mpaka uzi umefutwa
Hivi culture ni ke au me, mbona analeta vitu vya ajabu sana kwenye hii platform... Nimeona uzi wake akilalamika uzi wwke umefutwa akitia mkazo yale ni maisha yake...kuna watu nati kichwani zime loseKapuuzi sana na huwa nakapa makavu. Raha yake asitake wote tuione ya kawaida
Maridhiano vipi? Yameshaisha tayari?
Sawa mpendwa nimekusoma vyemaHapana uzi haukufutwa mpendwa upo umefungiwa.
Furaaaaaaday hakunaga siku ya ukweli kama jumatano na furahaday since utotoni,shuleni....View attachment 1290455
Yooh! cheers bro [emoji485]
Asili na misingi ya siasa ni unafiki ...zitto amtubu dhambi zake maana kwa unafiki tunamjua
Hivi tetesi za huyu kiumbe ni kweli au tunadanganyana huku mtaani kwamba jamaa alikufa akafufuka😄😄