myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:20
Kijana anajaribu kuleta mageuzi kwa kuuma na kupuliza. Kwa vile ana urafiki na Wamarekani Arab Spring bila shaka haitafika kwake....Prince Mohammed bin Salman al Saud.
Saud Arabia.View attachment 1290220
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli au ni kamba?
Kuna ubuyu mahali unaukimbilia ama? Ukienda huko kwa maselebriti huko kaa mbali na yule kijana mtanashati. Hatutaki ule ban tena [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Akapimwe na akiliMama amuua mwanawe kwa kosa la kuvunja Luninga, MarekaniView attachment 1290263
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama amuua mwanawe kwa kosa la kuvunja Luninga, MarekaniView attachment 1290263
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Poti. Nitafanya hivyo. Hujambo?SHIMBA YA BUYENZE, Sendwave wamerudi Bro! Download App na ufanye usajiri, watataka upige picha ya ID yako; usistuke! Wapunguzie ndugu na jamaa safari za kwenda Posta!