Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
Dogo hataki kwenda shule.
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1290162
Watu wamepinda [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1290163
[emoji23][emoji23]Dogo hataki kwenda shule.
*KISA CHA KUSHANGAZA*
*Kaka yangu alinunua gari mpya akanipa ya zamani.*
*Akanunua simu mpya akanipa ya zamani.*
*Akanunua nguo mpya akanipa za zamani.*
*Akanunua vitu vya kisasa vya ndani vya zamani vyote akanipa*
*Jana kaoa mke wa pili....!!*
*Yaani huwezi amini mpaka sasa hivi niko nyumbani kwake anajifanya hajui mimi nasubiri nini?*
Si bora huyo anaenda kuna wale kilio kinaanzia nyumbani mpaka shule enzi zetu😄😄
Aisee
😂😂😂😂
😂😂😂😂Jirani huwa anajipigia promo mwenyewe kimya kimya tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Si bora huyo anaenda kuna wale kilio kinaanzia nyumbani mpaka shule enzi zetu[emoji1][emoji1]
Duh!!!Watu wamepinda [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1290163
Hana adabu! Hapati kitu hapo*KISA CHA KUSHANGAZA*
*Kaka yangu alinunua gari mpya akanipa ya zamani.*
*Akanunua simu mpya akanipa ya zamani.*
*Akanunua nguo mpya akanipa za zamani.*
*Akanunua vitu vya kisasa vya ndani vya zamani vyote akanipa*
*Jana kaoa mke wa pili....!!*
*Yaani huwezi amini mpaka sasa hivi niko nyumbani kwake anajifanya hajui mimi nasubiri nini?*
Watu walioingia shule na miaka minne utawajua tu...enzi zetu sisi unapoingia std 1 tayari unakuwa unajua umuhimu wa shule [emoji3][emoji3][emoji3]Si bora huyo anaenda kuna wale kilio kinaanzia nyumbani mpaka shule enzi zetu[emoji1][emoji1]