myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
#Hakuepukiki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]![]()
Nimegundua ameni-cheat kwa miaka 3 mfululizo, nifanyaje?
Poleni na majukuu ya ujenzi wa taifa letu. Nipo kwenye mahusiano na mwanamke kwa muda wa miaka 5 sasa, tumeishi nae vema na tumejaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume hadi sasa japo sijamuoa wala sijamlipia mahari. Kabla hajawa na mimi kwenye mahusiano, alikuwa ametoka na mshkaji mmoja waliyesoma...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunaepukika sana tu [emoji16]#Hakuepukiki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Aaa wapi. Si kwa wakati huu tulionao aisee [emoji16][emoji16]
hahaha Majamaa ni shidaJF raha sana. Hata uje na hasira za aina gani utaishia kucheka tu. Nimekuta comments hata hazijafikia 20 lakini zote zinachekesha balaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nitakunywa chaii tu[emoji23][emoji23]Wewe utakunywa chai au utauliza