Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

434340095_204472.jpeg
 
Itakua au tumuweke kwenye mfano wa king davet maana alichomoa kila uzinduzi ila kanasa kwa wakishua mtoto TH mtoto nywele orijino mtoto kapanda hewani twiga anaomba pooooo,unaambiwa king akipigwa mkwara kidogo tu ananyweaaaa
Ni TH aliyemrudisha au yule aliyeleta habari za bethidei kwa mbwembwe? Ndukiiii [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hehehehe humu watu huwa wanajisahau sana,wahenga wachache sana humu
Likely ni mimi na ankoo wako tu japo hata naye nina mashaka naye. Kwa mabinti hakuna aliye above 30 humu. Mkubwa wenu humu likely ndo kwanza anachezea 25. Mnavyojitutumua sasa na tuhabari twa kihenga twa kuokoteza okoteza dah. Mnachekesha sana !!!
 
Itakua au tumuweke kwenye mfano wa king davet maana alichomoa kila uzinduzi ila kanasa kwa wakishua mtoto TH mtoto nywele orijino mtoto kapanda hewani twiga anaomba pooooo,unaambiwa king akipigwa mkwara kidogo tu ananyweaaaa
Haaaaa....!!!!



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20191211-230708_FotMob.jpeg
    Screenshot_20191211-230708_FotMob.jpeg
    22.7 KB · Views: 10
Back
Top Bottom