Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

King Mohammed vi
Morocco.
FB_IMG_1576178289553.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha wee jitetee tu. Kufua nguo za kaka zina ukomo hasa wakiwa wameoa labda awe anaumwa sana. Ila kufua nguo za mzazi ndo haina ukomo wa umri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mtu kufua nguo za kaka yake ina ukomo wa umri? Hata hivyo hayo niloyafanya miaka kama sita iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Likely ni mimi na ankoo wako tu japo hata naye nina mashaka naye. Kwa mabinti hakuna aliye above 30 humu. Mkubwa wenu humu likely ndo kwanza anachezea 25. Mnavyojitutumua sasa na tuhabari twa kihenga twa kuokoteza okoteza dah. Mnachekesha sana !!!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]mie nina 42
 
Back
Top Bottom