Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

King Filipe vi.
Spain
FB_IMG_1576179201173.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wa kanda ya ziwa hum watusaidie kujibu? [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*KISA CHA KUSHANGAZA*

*Kaka yangu alinunua gari mpya akanipa ya zamani.*

*Akanunua simu mpya akanipa ya zamani.*

*Akanunua nguo mpya akanipa za zamani.*

*Akanunua vitu vya kisasa vya ndani vya zamani vyote akanipa*

*Jana kaoa mke wa pili....!!*

*Yaani huwezi amini mpaka sasa hivi niko nyumbani kwake anajifanya hajui mimi nasubiri nini?*
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wa kanda ya ziwa hum watusaidie kujibu? [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nasubiri [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom