Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Hahaha aisee huyo ni Kanye bro,...na huo ndiyo uanaume sasa bro. Unaona demu anaburuzwa laivu unaapa lazima umuoe. Naamini hata ikitokea akachapiwa ataona sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukame ukikupiga utauliza tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Marahaba sis. Ni mihangaiko tu ila kama anavyosemaga King wetu muda ukipatikana tunakutana hapa. Unaendeleaje sis?
Ukame ukikupiga utauliza tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nashukuru niko poa broNipo sis. Ni mihangaiko tu ila kama anavyosemaga King wetu muda ukipatikana tunakutana hapa. Unaendeleaje sis?