Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyo ndiyo kabisaa nasikia bado anachezea 21. Mbwembwe zake za uhenga sasa. Utagwaya. Eti enzi zake vijana walikuwa wwnavaa magome ya miti tu. Nilicheka siku hiyo mpaka mbavu zikaniuma [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sema kwa zile mbwembwe ukienda kichwa kichwa unaamini kweli,kumbe hakana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…