Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Sawa Don hujazini. Tunakuamini kwa asilimia 1000Mi mwaka huu sijazini. Period !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Don hujazini. Tunakuamini kwa asilimia 1000Mi mwaka huu sijazini. Period !!!
Nitafanyaje mpendwa inabidi nigeuke hakuna namna.
Najua kwenu maandaeitini haiwezekani ndo maana mnashangaa. Kwa sisi wahenga tuliostaafu rasmi ubaharia mbona hili ni jambo la kawaida tu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa siku nyingine sikuungi mkonoNitafanyaje mpendwa inabidi nigeuke hakuna namna.
Wapi tumeshangaa [emoji3][emoji3]Najua kwenu maandaeitini haiwezekani ndo maana mnashangaa. Kwa sisi wahenga tuliostaafu rasmi ubaharia mbona hili ni jambo la kawaida tu? [emoji16][emoji16][emoji16]
#Tunakulaga
Huoni mnavyobisha utafikiri mlinishikilizia miguu. Hamfai [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi unaweza kubishana na Msukuma ukamshida hao ubishi upo kwenye damu nimefunika kombe mpendwa
Kwa ubishi ni Wanyakyusa na Waha pamoja na Wapare. Sisi umetusingizia. Ungesema ushamba labda.Hivi unaweza kubishana na Msukuma ukamshida hao ubishi upo kwenye damu nimefunika kombe mpendwa
#Niungemkono
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Huoni mnavyobisha utafikiri mlinishikilizia miguu. Hamfai [emoji16][emoji16][emoji16]
Uulize nini wakati ni self explanatory?
#nmeona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa shemu
#asionekwanimachohana?