Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Acha utapigwa mvua 30. It is not worth it hata kama ina tivii ndani !!!
Acha utapigwa mvua 30. It is not worth it hata kama ina tivii ndani !!!
Mhenga miye nani anipokonye nywila? Mambo ya kupokonyana nywila ni drama zenu hizo maandaeitini hangaikeni nazo [emoji16][emoji16][emoji16]
Yuko vizuri sanaHuyu kamanda namfagilia sana. Mapigo yake ni ya kimya kimya. Siku atakapokosea na kuweka post hapa sijui itakuwaje. Itapigwa likes za kufa mtu.
OoohMhenga miye nani anipokonye nywila? Mambo ya kupokonyana nywila ni drama zenu hizo maandaeitini hangaikeni nazo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nilikuambia sitaki kuitwa andaeitini ohoooMhenga miye nani anipokonye nywila? Mambo ya kupokonyana nywila ni drama zenu hizo maandaeitini hangaikeni nazo [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi mwaka huu sijazini aisee ila madhambi mengine kama kawa. Dah !!!Kuisha kwa mwaka bila kufanya zinaa ni jambo bora zaidi ingawa ni gumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hoja naipinga kwa nguvu zoteMi mwaka huu sijazini aisee ila madhambi mengine kama kawa. Dah !!!
Kulingana na utafiti wangu mfupi mabinti wote katika uzi huu hakuna aliye above 25. Tena hao wa 25 ndo utakuta wanajitapa vibaya sana kuwa ni wahenga kumbe wa juzi tu. Kwendeni zenu huko!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nilikuambia sitaki kuitwa andaeitini ohooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa unaipinga katika misingi ipi? Ulikuwepo nilipokuwa nazini mpendwa?Hii hoja naipinga kwa nguvu zote
AiseeKulingana na utafiti wangu mfupi mabinti wote katika uzi huu hakuna aliye above 25. Tena hao wa 25 ndo utakuta wanajitapa vibaya sana kuwa ni wahenga kumbe wa juzi tu. Kwendeni zenu huko!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kulingana na utafiti wangu mfupi mabinti wote katika uzi huu hakuna aliye above 25. Tena hao wa 25 ndo utakuta wanajitapa vibaya sana kuwa ni wahenga kumbe wa juzi tu. Kwendeni zenu huko!!!
Khaaa mbona unajihami hivyoMpendwa unaipinga katika misingi ipi? Ulikuwepo nilipokuwa nazini mpendwa?
Naunga mkono hoja [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hii hoja naipinga kwa nguvu zote
Nilijisahau sikuwepo mpendwaMpendwa unaipinga katika misingi ipi? Ulikuwepo nilipokuwa nazini mpendwa?
Mbwembwe nyingi tu lakini andaeitini kabisa. Mhenga katika uzi huu ni mimi peke yangu. Hata ankoo nshamshtukia yule. Ubaya na mimi heshima ya uhenga nilishaivuruga yaani ni hovyo tu...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nilikuambia sitaki kuitwa andaeitini ohooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwaka huu sijazini. Period !!!
Namtania mpendwa hakufanya
Mbwembwe nyingi tu lakini andaeitini kabisa. Mhenga katika uzi huu ni mimi peke yangu. Hata ankoo nshamshtukia yule. Ubaya na mimi heshima ya uhenga nilishaivuruga yaani ni hovyo tu...