NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
😂😂😂 ngoja aje
😂😂😂 ngoja aje
Wewe ukisema cha nini?wengine wanasema tutakipata lini?
Wewe ukisema cha nini?wengine wanasema tutakipata lini?
Ni kweli kabisa, Kwahiyo majibu tyr au?Unaanzaje kupitwa kwa mfano..
Wakusoma eeh? Kweli elimu haina mwisho..
Mtihani unaweza kuwa wa Intavyuu ujue!
Akubali da Wema ombi la jamaa yuko vizuri"Ndoto yangu ni kuja kumuoa Wema Sepetu, hakuna maisha bila Wema"--Baharia wa KenyaView attachment 1291430
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako wewe nakupa ruhusa kuniita bro, frendi, anko au jina lolote utakalopenda ali mradi tu lisiwe lenye ukakasi. Na shikamoo za heshima uwe unanipa. Tena na magoti upige kabisa mpaka chini kama mabinti wa Kisukuma wenye adabu njema na waliolelewa vizuri. Na ukitaka jina la utotoni basi niite MasalakulangwaIjumaa ilikuwa ya heri kabisa tunashukuru...
Bro bwana tukuiteje sasa? Jina lako gumu na refu...
Tupatie jina la utani la utotoni basi...
Ila umekaa ki Bro bro hivi..
Huyu kamanda namfagilia sana. Mapigo yake ni ya kimya kimya. Siku atakapokosea na kuweka post hapa sijui itakuwaje. Itapigwa likes za kufa mtu.mkwepu jr natambua mchango wako mkuu
Ijumaa leo. Unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali?
Na wewe leo hujapokonywa nywila?Ijumaa leo. Unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali?